Mzize ni mshambuliaji anayeumiza vichwa vilabu vikubwa vitatu vya Morocco; Wydad Casablanca, Raja Casablanca na RS Berkane. Mchezaji Stephane Aziz Ki yeye ni klabu mbili zimemzungumza; Wydad Casablanca na RS Berkane.” – Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC
Ali Kamwe: Vilabu Vikubwa Vitatu Morocco Wanamtaka Mzize
0
February 01, 2025