Azam Imechapika Kirumba Pamba Ikiokota Milion 15
Azam imepoteza mechi kihalali kabisa mbele ya Pamba leo,Na Pamba ilihitaji kuondoka na alama zote tatu mbele ya Azam leo.
Pamba imefika mara nyingi zaidi kwenye lango la klabu ya Azam na walikuwa wanaonyesha namna ambavyo wanaitaka hii mechi.Pengine ahadi za mkuu wa mkoa walikuwa wanaihitaji zaidi.
Pamba imekuwa hatari zaidi kwenye dimba lao la nyumbani.Kama wakiwa hivi basi wanaweza kufanya maajabu zaidi kwenye mzunguko huu wa pili
FT: PAMBA 1-0 AZAM FC