Aziz K Atoa Mahari Malori Mawili Yaliyojaa Ng'ombe na Milioni Thelathini Kwa Mobetto
0Udaku SpecialFebruary 15, 2025
Mchezaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki ametoa mahari ya Malori mawili yaliyojaa Ng'ombe na kiasi cha Tsh Milioni 30 nyumbani kwa Mkewe mtarajiwa Hamisa Mobetto.
Pichani Malori Mawili yaliyojaa ng'ombe yakiingia Nyumbani Kwa Mama Hamisa Mobetto...