Aziz Ki amepanga kulipa Mahari ya kumuoa Mobetto Februari 15, Ndoa yao itafungwa Februari 19.
Nimejifikiria sana usiku huu, Je Mwanadada Vanessa anayedaiwa kuzaa na Aziz Ki ataalikwa au itakuaje? atafanya fujo siku ya ndoa au atatulia tu, Daah! haya mambo yanauma sana, shuhudia wenzako wakiachwa tu yasikukute.