Web

BREAKING: Mahakama Yamwachia Huru Dr Slaa......

BREAKING: Mahakama Yamwachia Huru Dr Slaa......


Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa. Dk Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo Na.993 la mwaka 2025 ambapo Dkt. Slaa alishtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X.


Leo tarehe 27 wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema aliwasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga ambapo alieleza mahakamani hapo kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad