BREAKING: Muda wowote kuanzia sasa Sead Ramovic,atajiunga na Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria.
CR Belouizdad Wametuma ofa nono kwa Ramovic na wamekubali kulipa fidia ya kuvunja mkata na Yanga.
Yanga wamekubali kumuachia Ramovic na wamempa baraka zote.
Yanga wanamuachia kocha huyo kwa faida kwani CR Belouizdad,wamekubali kulipa pesa ya kuvunja mkataba “fidia”.