Web

CAF Yatoa Orodha ya Wachezaji 11 Bora Shirikisho, Hawa Hapa Wachezahi wa Simba Ndani...


CAF Yatoa Orodha ya Wachezaji 11 Bora Shirikisho, Hawa Hapa Wachezahi wa Simba Ndani...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC amevunja ukimya wake baada ya wachezaji wawili Kutajwa kwenye kikosi bora cha hatua ya makundi.

Ikumbukwe kuwa nahodha Mohammed Hussein na Jean Ahoua wametajwa kwenye kikosi cha wachezaji 11 bora wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Nikinukuu maneno ya msemaji wa klabu ya Simba SC: huku CAF tunatamba vibaya mno. Tumetoa wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha hatua ya makundi.

Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania bara umebadilika kiasi kufuatia matokeo ya leo. Mechi ya Coastal Union dhidi ya Azam FC ilikamilika kwa sare ya 0-0 katika uwanja wa Sheikh Amni Abeid Arusha. Hata hivyo Mashujaa FC walipata ushindi mkubwa wa mabao 2-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma. Aidha Namungo ilipokea kichapo kikali kutoka kwa Simba SC. Mechi hiyo ilichezwa katika uwanja wa Majaliwa Lindi.


Young Africans wapo kwenye nafasi ya kwanza kwenye Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania bara kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida BS. Young Africans wapo kwenye nafasi ya kwanza na pointi 52.

Simba SC wapo kwenye nafasi ya pili wakiwa na alama 50 huku wakiwa wamecheza mechi kumi na tisa. Iwapo watacheza mechi yao dhidi ya Pamba Jiji na washinde basi watafikisha pointi 53. Basi watakuwa kwenye nafasi ya kwanza.

Azam FC, Singida BS, Tabora United wapo kwenye nafasi ya tatu, nne na tano mtawalia.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad