CHAMA ATABAKI YANGA AMA ATAONDOKA, WHY ?!!!
Ni kweli Clatous Chama amefuta baadhi ya Picha zake kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Jezi ya Young Africans
Chama amejiunga na Young Africans kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea Simba Sc
Bado Chama ndani ya Young Africans amekosa nafasi ya kuanza moja kwa moja kama ilivyokuwa Simba Sc na hii sio kwa bahati mbaya...
Kwa tukio la kufuta Picha alizopost haimaanishi kuwa anaondoka Young Africans kwakuwa utambulisho wa kuwa ni mchezaji wa Yanga ni mikataba na sio picha za kupost,
Endapo klab yake hiyo kama itahitaji kuendelea kupata huduma yake kwa maslahi watakayokubaliana,
Ni kweli Simba Sc wanamhitaji kiungo huyo na wanatamani hata leo angerejea kikosi kwao na hii ni kutokana na Ubora aliouonyesha klabuni hapo na imani yao kwake,
Chama kukosa nafasi ya kuanza Young Africans haimaanishi kama ni mchezaji mbovu but mahitaji ya walimu kutokana na mfumo wake sio ragiki sana kwake,
Imagine: kuna muda anacheza Kennedy Musonda why tukimbikie na kusema Chama anakiwango kibovu...
So: ikitokea Chama ameondoka Young Africans sitoshangaa kwakuwa amepoteza nafasi na yeye anaamini bado anakitu cha kufanya tena kikubwa ...
Na ikitokea ameongeza kandarasi basi itakuwa klab yake bado inamahitaji nae na ataendelea kusalia.... But cha note Chama kupoteza nafasi Ya Kuanza kwa waajairi wake Young Africans haimaanishi atakosa namba ndani ya Simba Sc.......
Sijui Umenielewa.....👏