Chama Yupo Huru Kuanza Kutafuta Timu, Simba Mpeni Last Chance Mwamba




Chama alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga, mkataba huo unamalizika rasmi mwezi Juni. Hadi sasa, kikanuni anaruhusiwa kuzungumza na timu yoyote na hata kusaini mkataba wa awali.

Furaha na matamanio yake ni kurejea Msimbazi mahali alipotengeneza ufalme wake nchini na kuandika historia kubwa, hali iliyopo Jangwani haimpi tena furaha

Kwa heshima na taadhima, naomba niwasihi viongozi wa Simba SC: mumpe “One Last Dance” Mwamba wa Lusaka. Tumkaribishe tena Chama pale alipoacha alama isiyofutika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad