Supastaa wa Bongo Fleva na Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, anatuhumiwa kumsaliti mpenzi wake Zuhura Othman Soud, anayejulikana zaidi kama Zuchu au Zuuh.
Tetesi hizi zimeibuka usiku wa kuamkia leo Feb 19, 2025 baada ya Diamond kuonekana akijiachia na mrembo mwingine, huku kwenye moja ya video ikionekana mrembo huyo akijitambulisha kama "Mrs. Naseeb Abdul."
Wewe unafikiri huu ni ukweli au ni sehemu ya drama ya kiki?