Web

Diamond Platnumz Kiboko, Avuka Zanzibar na Gari zake Zote za Kifahari



Huu ndio ule ukweli kwamba pesa inaweza fanya Kila kitu Katika maisha. Yaani vile ambavyo vinafikilisha na kuona kana kwamba vitu visivyo wezekana kupitia pesa mtu unaweza fanya, japo siyo Kila kitu.



Diamond Platnumz ameushangaza umma Kwa kusafirisha Utajiri Wake kwenda Zanzibar kwenye tuzo za Trace Award zilizo fanyika huko Zanzibar.

Diamond Platnumz alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na magari yake yote kitendo ambacho kimezua gumzo katika mitandao ya kijamii. Gari zote za Diamond Platnumz ikiwemo Simba 1, Simba 2, Cadillac escalade, Roz Lolyce, na mengine mengi yalionekana yakiwa packingi, pamoja na mda wa kutoka kuelekeza kwenye Tuzo.

Kitu kilicho washangaza watu ni kwamba ili uwende Zanzibar lazima uvuke maji, hivyo basi gari hizo zilivushwa maji na kitendo Cha kuvusha maji maghari Kwa watu ambao wapo bandalini wanelewa gharama yake.



Ili ufanikishe kuvusha maji magari mkwanja wake siyo wa kitoto, inahitaji Uwe na pesa haswa za kuchezea kama ilivyo Kwa Diamond Platnumz. Hivyo watu wamesaliti amri kupitia kitendo hicho.

Baadhi ya watu wametoa maoni yao na kusema Diamond Platnumz ameshindikana. Kwani kuvusha magari yake Kwa ajili ya kwenda kwenye tuzo ni jambo ambalo siyo la kawaida linahitaji pesa ya kutosha na isiyo na kazi.

Wengine wakisema kitendo hicho ni matumizi mabaya ya pesa na kutaka sifa zisizo na msingi, vipi je gari hizo zingezama kwenye maji kitu gani angepata badala ya hasara?.

Je, Kwa upande wako Nini maoni Yako Kwa kufuru hii ya diamond Platnumz ya kwenda Zanzibar na Utajiri Wake huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad