Engineer Hersi Said ambae ni Rais wa klabu ya Young Africans Sc ameteuliwa cheo kingine kipya na kuwa mjumbe wa kamati ya Mashindano ya CAF,kutokana na mwenendo wake bora kwenye ufanisi wa kazi watu wa takwimu na tathmini wametoa hoja yao kuhusu Hersi Said.
"Endapo Engineer Hersi Said ataendelea hivi basi ifikapo mwaka 2030 anauwezekano mkubwa sana wa kuchukua nafasi ya Urais ndani ya shirikisho la soka Africa Caf"