Web

Ex wa Aziz K Afunguka Kuumizwa na Ndoa ya Hamisa na Aziz K




Vanessa kasheri ambaye ni mwigizaji wa bongo move na ex Wa Azizi Ki wamefanikiwa kupatata mtoto mmoja na baada ya kugundua kuwa mpenzi wake ni mjamzito aliachana naye na kumtambulisha Hamisa.



Baada ya Azizi ki kuwa kimapenzi na Hamisa mobeto aliamua kumtambulisha kwa kwenda sehem mbalimbali za starehe na hapo ndipo ilipo fahamika kuwa Vanessa na azizi ki wameachana .

Aidha Vanessa ameelezea hisia zake za kutotamani kuona mpenzi wake wa zamani akiwa anaoa mwanamke mwingine kitu ambacho hakuna mwanamke ambaye anaweza kuvilia kuona mtu anayempenda anajua na uhusiano mwingine na mtu mwingine.



Hatimaye Hamisa Mobeto huenda ameanza kutamba kama mke halali wa Azizi Ki huku akiwachoma roho maex wa mume wake .


Lakini matamanio yake hatimaye yamegonga mwamba kwani mpenzi wake huyo siku chache zilizopita alimtolea mahari na kumuoa Hamisa mobeto mwanamitindo maarufu zaidi hapa nchini.

Zaid ya hayo mashabiki zake wamemtaka aache kuwaza ya zamani asonge mbele na mtoto kwani mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu .



Ameeleza kuwasasa hayuko kwenye mahusiano yoyote anachokifanya ni kumlea mwanae na kufanya kazi kwa bidii huku akimshukuru Mungu kwa zawadi ya mtoto wake.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad