Fei Toto amekataa ofa mpya ya mkataba wa miaka miwili na AZAM FC ambayo inajumuisha ada ya kusaini ya $320,000 ambazo ni sawa na Tsh. 822,376,640 na mshahara wa kila mwezi wa $12,000 sawa na milioni 30,839,124 za kitanzania .
Huenda Kuna Offer Kubwa zaidi ipo mezani kwake na Hajatuambia....