Feisal Salim Kurudi Yanga...Mambo ni Moto...


Feisal Salim Kurudi Yanga...Mambo ni Moto...

Taarifa inaeleza kuwa Feisal Salum atarejeshwa kwenye kikosi cha Young Africans Sc baada ya msimu huu kuisha,Young Africans kupitia Engineer Hersi Saidi amekwisha malizana na mchezaji pamoja na menejimenti ya mchezaji na utaratibu unaendelea kufuatwa.

Feisal Salum atarejea Young Africans kuja kuchukua nafasi ya Stephanie Aziz ki baada ya mauzo ya mchezaji huyo nyota kutoka Burkina faso kukamilika.

Unafikiri kwenye kinyang'anyiro cha kumalizia saini ya mchezaji Simba na Yanga nani atamaliza dili haraka???
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad