Web

Fisi Mwenye Jina na Shanga Shingoni Auawa Simiyu

Fisi Mwenye Jina na Shanga Shingoni Auawa Simiyu


MAMLAKA ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na jeshi la polisi wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, wamemuua fisi ambaye alikuwa amechorwa jina la mtu.


Fisi huyo ameuwawa katika kijiji cha Kimali na anadaiwa kuwa na alama ya jina la mtu upande wa paja lake la kushoto, huku akiwa na shanga shingoni.


Mkuu wa wilaya ya Itilima, Anna Gidarya amewataka wananchi wote wilayani humo wanaomiliki nyara za Serikali kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja kabla hatua kali hazijaanza kuchukuliwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad