Hela za Waarabu Zinawapa Jeuri Yanga...




Club ya Young Africans inatajwa itapokea kiasi kikubwa cha fedha watakapofanya biashara ya kuwauza Clement Mzize na Aziz Stephane Ki mwisho wa msimu huu.

Kiasi watakachopata wanao uwezo wa kubisha hodi tena pale Chamazi wakamrejesha Feisal Salum halafu wakamsainisha na Djibril Silla ambaye inatajwa amegomea ofa ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Azam Complex..

Kwa kifupi hiyo itakua ni kata mti panda mti, weka ugoko niweke jiwe!

Vipi hiyo wakuu,itaisaidia Yanga kurejesha makali yake au waende mashariki ya mbali kuleta vyuma zaidi ya Silla na Fei?. [Via UsajiliWetu]
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad