Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa upande wa Jean Baleke ni kuwa anaidai Yanga kiasi cha dola 60,000 ambapo dola 30,000 signing fee na dola 30,000 nyingine ni gharama za kuvunja mkataba, kama Yanga hawatomlipa ana mpango wa kuwapeleka FIFA.
Dola 60,000 ni sawa na MILLION 155 za Kitanzania.