Beki kisiki wa timu ya yanga Mwamnyeto Bakari Nondo.
Ukitafta beki mwenye sifa za kukaa kwenye eneo la ulinzi nchi hii huwezi kukosa jina la Bakari Nondo Mwamnyeto,
Mtazame ile morphologia yake urefu wake futi 6.1, mwili wake una nguvu, akili yake na uwezo ndiyo maana akapewa kitambaa cha unahodha.
Huyu ni beki aliyeiongoza @yangasc kuchukua makombe 11+, makombe matatu ya ligi, makombe ya shirikisho,ngao ya jamii, michuano mengine kama Toyota Cup n.k
Huyu amevunja rekodi za manahodha wengi waliopita young Africans sio kwa bahati mbaya amefanya kwa kujiludia mara kwa mara.
Juzi kwenye mchezo wa kombe la shirikisho Ramovic alimchezesha Mwamnyeto pekee kwenye eneo la ulizi akijaza viungo pekee mbavu zikiwa na Kibabage na Mwenda
Hiki kitasa sio cha kukipotezea hata kidogo.
NENO MOJA KWA NONDO??
NB: CAPTAIN NGISI🔥