Klabu ya Yanga Sc imemtangaza Miloud Hamdi ambaye alikuwa Singida Black Stars mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha wake mpya akichukua mikoba ya Sead Ramovic ambaye anaondoka klabuni hapo baada ya kufunja mkataba na kocha Mjerumani huyo kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya Februari 04, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa Kocha Hamdi mwenye uzoefu mkubwa wa kufundisha soka akiwa amefanya kazi barani Ulaya, Asia na Afrika, anaungana na timu mara moja kuanza majukumu yake mapya.
Kocha huyo mbali na uzoefu alionao, pia ana mafanikio makubwa katika soka la Afrika akishinda taji la Ligi Kuu ya Algeria na kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2015-2016 akiwa na USM Alger.
HIRE A CERTIFIED BITCOIN RECOVERY EXPERT// THE HACK ANGELS
ReplyDeleteThere are good-quality recovery agents out there who are legit and honest when it comes to recovery. I was a victim of Bitcoin investment fraud which I regretted not happening to anyone. What matters is the strangeness in you because being broken is not for weakness. I fell victim to a Bitcoin scam that saw me lose all my assets within a space of five days, I was catfished by a person who pretended to be a Bitcoin trader and investor, after depositing close to a million dollars into this fake Bitcoin exchange, it was impossible to withdraw my assets and all communication with this so-called trader was compromised. I felt like I was going to die, until a friend of mine introduced THE HACK ANGELS RECOVERY EXPERT, a recovery agent that helped me recover all my stolen funds. I thought it was impossible, they recovered everything in less than 48 hours. I was in awe of how quick and easy it was, I can personally assure you all that THE HACK ANGELS RECOVERY EXPERT is a team of relentless, reliable, and trustworthy Bitcoin and data recovery experts. You can reach out them with this information if you have any reason to
(support@thehackangels.com)
(www.thehackangels.com)
WhatsApp +1(520)200-2320)
If you're in London, you can even visit them in person at their office located at 45-46 Red Lion Street, London WC1R 4PF, UK. They’re super helpful and really know their stuff! Don’t hesitate to reach out if you need help.