Web

Imetosha....Kennedy Musonda Kuondoka Yanga...



Kennedy Musonda Kuondoka Yanga...


TRANSFER NEWS

Kwa Mujibu wa Chanzo Changu Chakuaminika Kimethibitisha kuwa Kennedy Musonda anaelekea kukamilisha Uhamisho wake wa Mkopo wa kujiunga na klab ya Singida Black Stars,

Mazungumzo baina ya vilabu vya Young Africans na Singida Black Stars yamefikiwa na kinachoendelea sasa ni Makubaliano Binafsi baina ya Kennedy Musonda na Uongozi wa klab ya Singida Black Stars,

Musonda anaelekea kukamilisha usajili wake wa Mkopo wa Mwaka 1 kwa Matajiri hao wa ALizeti wa Singida Black Stars.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad