KMC Wala Chuma 6, Aziz Apata Hat Trick, Prince Dube Anajua Sana Mpira

KMC Wala Chuma 6, Aziz Apata Hat Trick, Prince Dube Anajua Sana Mpira

Huyu Prince Dube anajua sana mpira,Kwenye chuma 6 Yanga SC walioshinda alihusika moja kwa moja kuvunja ngome ya KMC FC na Yanga SC kupata upenyo wa kutumia nafasi.

Note:Ukihitaji Hattrick utapata kwa Wananchi,Leo Stephanie Aziz Ki kaweka kambani magoli 3.

Hadi sasa Yanga SC kwenye Ligi msimu huu ndiyo Timu yenye wastani wa kufunga magoli mengi zaidi na ushindi huu unawafanya Yanga SC warejee kileleni.

Yule R.Mussa wa KMC alikua katika kiwango bora sana pale katikati alifunga goli zuri na kacheza vizuri sana.

Rotation Yanga SC waliofanya kipindi cha pili kimelipa sana 🙌,Kasi iliongezeka na Timu ikacheza mpira na kufunga magoli mengi.

FT:KMC FC 1:6 YANGA SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad