Mchezaji Derrick Mukombozi Alipewa kadi nyekundu katika mchezo wa Namungo Vs Simba, tukio hilo limeleta mjadala mkubwa hasa kuhusu kwanini alipewa hiyo kadi, Kocha Juma Mgunda amefunguka Haya:
" Mimi sijawahi Kumlaumu Mpiga firimbi yeyote hata akiwa Mbovu ila Mimi binafsi sijaelewa maamuzi ya kadi Nyekundu iliyotolewa kwa Mchezaji wangu, "
Juma Mgunda - Kocha Mkuu wa klab ya Namungo