Kocha Kali Ongala Yanga Inatazamwa Sana Sisi KMC Tunashiriki tu Ligi

Kocha Kali Ongala Yanga Inatazamwa Sana Sisi KMC Tunashiriki tu Ligi


"Yanga ni timu nzuri.Wachezaji wanalipwa hela nyingi, makocha wanalipwa hela nyingi, ina waandishi wengi, ina mashabiki wengi, wengi wanaiangalia tu Yanga, sisi tunashiriki tu Ligi."

"Sisi tunaiamini timu yetu tunakuja kupambana. Chochote kitakachotokea basi kitakuwa kimetokea lakini mwisho wa siku mpira lazima udunde."

- Kali Ongala, Kocha mkuu wa klabu ya KMC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad