Baada ya kuinasa saini ya winga hatar Makab lillepo klabu ya Kaizer Chiefs chini ya kocha Nassiriedn Nabi imeweka mezani bilion 4 6 ya kutaka kumsajili Mshambuliaji hatari wa klabu ya Pyramids Fc Fiston Mayele, aliwahi kufanya nae kazi Nabi wakiwa katika klabu ya Yanga SC.
Pia klabu hiyo ya Kaizer Chiefs wanajaribu kutaka kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam FC Feisal Salum Abdallah #Feitoto.
Hiyo yote kocha Nabi anataka kuirudisha Kaizer Chiefs kwenye ramani na iwapo atawanasa Hawa wachezaji anaowataka basi naiona Kaizer Chiefs ikiwa moto wa kuotea mbali