Kumbe hadi baba yangu ana wivu na mafanikio yangu

 

Kumbe hadi baba yangu ana wivu na mafanikio yangu


Naitwa Jacob kutokea Kigoma, kwetu tumezaliwa wanne kwa mama tofauti na nilibahatika kuwa vizuri saana kiuchumi nikawa na biashara ya usafirishaji yaani daladala hapa Kigoma nikanunua viwanja ndani ya mkoa huu maarufu nchini. 

Sasa kwa mzee mimi ni wa kwanza wa kiume ila wa kwanza kuzaliwa ni wa kike. Sasa huyo ndo kipenzi cha mzee sana.  Sasa nikawa mwema na mkarimu sana kwa madogo yaani hawa madogo wawili waliobaki katika kuwasomesha. 

Mmoja alikosa mkopo UDOM, nikabeba jukumu na mwingine akawa anasoma uhasibu Mwanza, nae nikabeba na hii ni kwakua alipokuwa anafanya mzee kazi walisimamishwa kutokana na sababu za kiuchumi. 

Kweli nikawa vizuri kupambania ndoto za madogo mpaka wakamaliza, mmoja wa kiume degree na mwingine wa kike diploma na wakapata kazi vizuri tu ila kimbembe kikaanzia hapo, bhana wa kike hana tatizo kwakua mimi na yeye tumbo moja ila huyo wa kiume na mzee mpaka aibu.

Hawanithamini tena, wana mpaka mipango yao ya siri wenyewe. Wananunua mashamba wanalima huko na pengine wanajenga kimya kimya.

Siku nikashika simu ya mzee nikazama kwenye sms nikakuta anamwambia dogo na yule dada yetu wa kwanza ambao sio wa tumbo moja, kwamba kuweni makini hawa ndugu zenu pamoja na mama yao wanawaonea wivu sana. 

Nikajiuliza wivu kweli ningejitoa kwa kumsaidia kielimu?, haya kama Maza anawaonea wivu angekaa nao tangu wadogo mpaka wamekuwa wakubwa bila kuwadhuru?. Nikakosa majibu nikasema tenda wema uende zako. 

Yote haya yametokea kwakuwa mambo yangu yalienda tofauti katika biashara ndio hapo uthamani ukashuka sana kwa mzee. Hata hivyo, sikufa moyo wa kuendelea kupambana kama ilivyokuwa kawaida yangu. 

Kuna siku moja nilisikia kuhusu Kiwanga Doctors kuwa ana uwezo wa kuinua biashara ya mtu tena licha ya kuwa imeyumba, basi nikaamua kuchukua uamuzi wa kuwasiliana naye mara moja. 

Kiwanga Doctors alinialika ofisini kwake nami nikasafiri hadi huko Migori nchini Kenya ili kuonana naye tu. Nilimueleza kuhusu changamoto ambazo nilipitia hadi biashara zangu kuyumba. 

Nashukuru alinifanyia madawa yake na mambo yangu sasa kibiashara yamekaa vizuri sana kiasi kwamba madogo na mzee wameanza kujirudi ila ukweli moyoni mwangu sina furaha nao hata kidogo. 

Binafsi namshukuru sana Kiwanga Doctors kwa jinsi alivyonitoa katika changamoto hiyo kubwa. Ikiwa nawe unataka kuiinua biashara yako, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com. 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad