Tottenham imeifunga Manchester United mara tatu ndani ya msimu mmoja kwa mara ya kwanza baada ya miaka 35 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashetani hao Wekundu katika dimba la Tottenham.
FT: Tottenham 1-0 Man United
⚽ 12’ Madison
Man United dhidi ya Spurs msimu huu:
❌ Tottenham 1-0 Man United (EPL)
❌ Tottenham 4-3 Man United (Carabao)
❌ Man United 0-3 Tottenham (EPL)