Naitwa Maua kutoka Geita, baada ya mimi kuzaliwa, baba na mama yangu walitengana lakini familia ya upande wa baba haikumtaka mama wala sisi pia. Yaani hatukupendwa, ilifikia kipindi nilitaka kubakwa na ndugu upande wa baba kabisa.
Kesi ilizimwa kifamilia na haikuishia hapo tu, niliwahi kusitishwa masomo yangu nikituhumiwa na baba yangu na ndugu zake kuwa nimetoa mimba. Ebu fikiria unasingiziwa uongo na baba yako mzazi!.
Haikutosha, nilikuwa naambiwa mimi ni malaya natembea na vijana wa mtaani mzima hadi walevi ambao hawana nyuma wala mbele kimaisha. Kwa kifupi kila kukicha yaani yalikuwa yanazidi mambo yaliyonichanganya.
Mzee wangu alifika mbali zaidi, mama yetu alianza kupigwa mbele yetu. Kunyimwa hela ya matumizi ikawa kawaida kwa sababu ambazo tulikuwa hatuelewi kabisa ni nini chanzo maana hatukushirikishwa katika jambo lolote lile.
Ndugu hasa mashangazi walifika wakitaka mama arudi kwao, kweli mama alitumiwa nauli na ndugu zake na alirudi kwao. Na mimi sikuelewa maisha ya pale nyumbani hasa matusi kwa baba. Ilibidi nimfuate mama.
Mama aliumia lakini ndugu zake hawakumuacha. Walimjengea nyumba ya kisasa, wakampa na mtaji afanye biashara. Wadogo zangu walipelekwa shule nzuri na mimi nikapelekwa chuo kizuri kila kitu kikabadilika upande wetu.
Leo hii tumekuwa, tushajua maisha yapo vipi, sasa hivi tunampa sapoti sana mama, kiukweli tunamjali sana. Sasa baba kaona mama karudi usichana anataka amrudie.
Mama alikataa hilo na ukizingatia baba amechoka vibaya sana. Hatumchukii ni baba yetu ila hatuwezi kuingilia mapenzi yao. Ila tukitazama tu ndugu wa upande wa baba wanajisikia aibu, tupo level nyingine.
Sasa kama miaka miwili mitano iliyopita, mama aliniambia nijiandee kuna safari ila hakusema ni wapi tunaenda, siku ya safari ilipowadia tukapanda Bus na kuondoka, tukiwa ndani ya gari mama akaniambia tunaenda Migori nchini Kenya kwa Kiwanga Doctors.
Nilimuuliza tunaenda kufanya nini huko?, akasema ananipeleka nikafanyiwe matambiko ili nisije kupata mwanaume mwenye tabia kama za baba yangu nikaja kuteseka bure katika haya maisha.
Binafsi kusikia hivyo nilishtuka sana ila mwisho wa siku nilielewa nini ambacho mama alikuwa anakitaka. Kweli baada ya kupata dawa za Kiwanga Doctors, maisha yangu ya kimahusiano yamekuwa yenye furaha sana hadi sasa ambapo nimeolewa na nina watoto wawili.
Watu wengi waliopatiwa dawa na Kiwanga Doctors, ndoa na mahusiano yao yapo vizuri sana, chukua hatua hii leo ya kuwasiliana nao kupitia +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.