Mama wa Kwenye Daladala Aniongezea Mshahara Mara tatu

Mama wa Kwenye Daladala Aniongezea Mshahara Mara tatu


Jina langu ni Amani kutokea Bagamoyo, wakati naanza kazi nilifurahi sana wakati wa mshahara na nilikuwa na mengi ya kufanya, binafsi nilihitaji geto lipendeze, nivae nguo safi na niwe sawa na wengine. 

Mwisho wa mwezi mshahara ukaingia kwene account, mara moja nikapanga kwenda kununua vitu vingi vya geto na nguo kidogo, basi nikaondoka, nikapanda daladala za Tegeta, kisha nikishuka Tegeta nipande magari ya Kariakoo. 

Tulipofika pale Tegeta, akaingia mama mmoja mtu mzima, kavaa vizuri anaonekana mama mstaarabu, nikaona ngoja nimpishe kiti akae nami nikasimama. Alinishukuru, akakaa. 

Basi tulipofika pale Lugalo, konda akaanza kudai nauli. Akafika kwa yule mama, ghafla ugomvi ukaanza. Masikini yule mama alilalamika haoni walet yake, na pochi imechanika.

Konda akawa mkali, akimrushia yule mama maneno. Yule mama alikaa kimya, kwa aibu na fedheha. Konda akasema, utashukia hapo ITV. Yule mama akasema, nitashuka hakuna shida. Kondakta akaendelea kukusanya kwa wengine huku akimwita yule mama tapeli.

Watu wengi waliongea, na kusema kuwa matapeli wamekuwa wengi siku hizi. Wengine walimtetea yule mama na kusema konda amsamehe. Yule mama, akasema nimeibiwa jamani, na simu yangu pia siioni ndio maana nakuwa mpole. 

Watu wakazidi kulumbana na mara moja konda akafika kwangu, nikamwambia nalipa na ya yule mama. Akaropoka, "mama kuna mtu kakuokoa" basi yule mama akakaa kimya. Tulipofika Kariakoo, tukashuka. Yule mama akaja akaniambia "Asante mwanangu”.

Akaendelea kusema, mwanangu nimeibiwa vitu vyangu pamoja na simu pia. Sijui vimechukuliwa saa ngapi. Nilikuwa na lengo la kuja kumnunulia mwanangu viatu na madaftari anaenda shule wiki ijayo.
Pamoja na kupata wasiwasi na moyo kusitasita, bado huruma ilinijaa baada ya kusikia yaliyomkuta mama yule. Naelewa jinsi wazazi wanavyopambana kwa ajili ya watoto. Mimi nilishuhudia wazazi wakiuza mali zao nisome. Hivyo nilielewa.

Nikamwambia mama, pole sana, sasa mimi mwanao sina pesa nyingi ila chukua hii elfu 50. Kamhudumie mwanao. Nilikuwa naweza kumpa zaidi, ila nikatoa kwa akili, kama ni wizi basi nipigwe kidogo kama ni baraka zitarudi. Mama alinishukuru sanaaa.

Basi akaniambia jina lake. Akanipa namba yake. Akasema akirenew line, tutawasiliana. Niwe najaribu kumcheki. Miaka ikapita. Nikawa mtu mzoefu kazini. Nimefanikiwa kiasi kikubwa. Nimenunua ndinga. Maisha yanaendelea.

Siku moja nikaaamua kupiga namba ya yule Mama. Haikupatikana, nikajua hapa nilipigwa kabisa. Siku nyingine nikapiga ikaita na akapokea, nikaongea naye na kujitambulisha alifurahia sana na kuniambia anaendelea vizuri. 

Akaniomba tunaonane, sikuwa na shaka tukaonana na kuzungumza. Akaniambia anataka nifanikiwe zaidi, nikamuuliza kivipi?. Akaniambia nikikubali jambo atakaloniambia nitaona miujiza. 
Kusema kweli sikuwa na shaka naye tena. 

Basi akaniambia nipige namba hii +254 769404965 na kuomba ulinzi wa mali zangu na bahati zaidi maishani. Akasema namba hiyo ni ya Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya. 

Basi nilifanya kama alivyoniambia na tangu wakati huo mambo yangu yalizidi kufunguka zaidi. Nilikuja kupata kazi nyingine yenye mshahara mara tatu ya ule ambao nilikuwa nalipwa hapo awali. 

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad