Manara: Makocha Mungu Hajawaajalia Subira Kwenye Mambo ya Riziki




Maisha ya Makocha ni sawa na Wachezaji tu,ikitokea kuna Club nyingine inayompa maslahi makubwa zaidi yenu, wanakuwa hawana dini kwenye hilo.
Mungu hajawaajalia Subira kwenye mambo ya kirizki,
Hawajawahi kuwa na Msalie Mtume na fulusi,
Washabiki lazma tutambue hilo na tuanze kuzoea situations za aina hiyo !!!

Imagine kocha anakuja mezani anawaambia kuna Club imemwekea maslahi makubwa zaidi kuliko nyie, na wapo tayari kulipia hata gharama ya kuvunja mkataba baina yetu,
Kisha anakwambia mniruhusu niende kupata changamoto mpya yenye ukwasi mkubwa zaidi, Hapo mnafanyaje ?

Nenda Side,Maisha ya Mpira ni mafupi mno,Biashara ya Football sio kama kilimo au Uvuvi,hayana muamana hata kidogo ,na nafasi kama hzi huwa haziji mara nyingi.

Muhimu ni kukutakia kila la kheri huko uendako na tunakushukuru sana kwa kidogo ulichotupatia" - Haji Manara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad