Mbwana Samatta Afunga Mabao Mawili Super League ya Ugiriki


Mbwana Samatta Afunga Mabao Mawili Super League ya Ugiriki

Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amefunga mabao mawili kwenye mchezo wa Super League huko Ugiriki siku ya jana na kuisaidia Paok kupata ushindi wq mabao 5-0.

Samatta amefunga magoli dakika ya 2” na dakika ya 67” , kwenye mchezo huo alipiga mashuti matatu (3) mawili yalilenga lango na moja off target

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad