NEVER STOP DOING YOUR BEST JUST BECAUSE SOMEONE DOESN’T GIVE YOU CREDIT.
Lionel Messi kutoka huko Rosario, Argentina licha ya ubora wake na mchango mkubwa kwenye timu ya taifa ila kuna wakati mashabiki wa timu ya taifa walimzomea Messi mpaka akaamua kustaafu kucheza timu ya Taifa.
Captain Mbwana Samatta a boy from Mbagala huko ni mchezaji mkubwa kuwahi kutokea kwenye hii nchi mchangao wake ni mkubwa kwenye hii nchi ila kuna wakati anapitia yake ambayo Messi na Ronaldo waliwahi kupitia kwenye timu zao za taifa.
Mbwana Samatta mchango wake ni mkubwa na anapokuwa uwanjani anamwaga jasho na damu kuipambania timu ya taifa bahati mbaya tu Samatta anacheza kwenye timu ya taifa ambayo mashabiki wake wanajikita zaidi kwenye kuzomea kuliko kupongeza ila bado Samatta anaendelea kuipambania Taifa stars bila kujali maneno ya nje ya uwanja.
Nb; Mbwana anastahili heshima kwenye hii nchi.
Hansrafael