Mchambuzi Hans 'Ni Kweli Ligi Yetu ni Dhaifu, Romavic Alisema Ukweli"
0Udaku SpecialFebruary 18, 2025
"Mlijaribu kuibeza kauli ya Ramovic Ila ilikuwa na ukweli mwingi,ligi yetu ni nyepesi sana,mechi nyingi hazina intensity,mechi nyingi zinarahisishwa sana,sina uhakika kama ligi yetu ni ya nne kwa ubora barani Africa."