Mchezaji Derrick Mukombozi Alipewa kadi nyekundu katika mchezo wa Namungo Vs Simba, tukio hilo limeleta mjadala mkubwa hasa kuhusu kwanini alipewa hiyo kadi, Mwenyewe ameaongea na kusema Haya:
Binafsi namshukuru Mungu,ila sijui kwanini mwamuzi alinionyesha kadi nyekundu,mimi sikumtukana mtu wala sikumpiga mtu,halafu nilimuuliza refa Kama nimempiga Ateba mbona hukuweka penalty?”
🗣️ Derrick Mukombozi: Via Crown Sport