Web

Mikataba ya Pacome na Yao Mezani Kwa Yanga....Hatimaye yao Bado Kitendawili

Mikataba ya Pacome na Yao Mezani Kwa Yanga....Hatimaye yao Bado Kitendawili


”Tulishaanza kuongea juu ya mkataba wa Pacome na Yao muda mrefu, na tunakaribia kufikia hatma. Bado tunaongea”
.
“Pacome na Yao kusalia Tanzania itategemeana na namna mazungumzo baina yangu na viongozi wa timu yatakavyokwenda. Tayari nimeshakutana na Rais Hersi lakini bado tunaendelea na mazungumzo. Mungu akipenda kila kitu kitakuwa sawa, tunangojea baadhi ya vitu ila halijakwisha”

Zambro Traore ni Wakala wa Stephanie Aziz, Yao Khouassi Atthoula, Pacome Zouzoua na Valentine Nouma

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad