Mrembo wa Diamond afunguka mazito "mimi ndio nilikuacha 2024, hutoi matumizi, umeninyanyasa sana"
Mrembo miss Ritha amejibu na kudai kuwa alimuacha @diamondplatnumz mwaka 2024 mwezi wa November na sio mwaka 2023 kama Diamond platnumz anavyosema na kudai kuwa mwaka 2023 walifumwa na @officialzuchu na wakakubaliana na Diamond wawe na mahusiano ya siri.
Miss Ritha amedai kuwa aliamua kumuacha @diamondplatnumz baada ya kuona hamjali wala hamtunzi huku akidai ilifikia wakati Diamond alikwepa kulipa hela ya kodi.
Tembelea YouTube channel yetu ya Middle simba Kutazama Habari hii kwa urefu zaidi.