MSIKIE MENEJA WA JEAN BALEKE:
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa fedha zake. Kama Baleke hayupo salama ni nani yupo salama?
“Unaposikia hivi sasa tumefanikiwa kumpata Mwanasheria wa Augustin (Okrah) ambaye ametusaidia kwa kiasi kikubwa na kesi sasa ipo Fifa.”