“Mudathir ni mpambanaji sio mchezaji wa kukubali kushindwa amekuwa imara na ndio maana kila kocha ambaye amepita ndani ya kikosi cha Yanga tangu ameungana nayo amekuwa akipata nafasi ya kucheza.”
Mudathir Kiungo Pendwa Kwa Makocha wa Yanga, Hajawahi Kalishwa Benchi
0
February 09, 2025
Tags