Mzize ni Top center forward kwa sasa Tanzania, Anakupa magoli ya mbali,tap-ins,Headers n.k
Haogopi kuweka mguu wake kwenye maeneo hatari kwani anajua umuhimu wa kufunga goli, Leo kaongeza goli Dhidi ya Singida Black stars
Kubwa zaidi ni mikimbio yake,Mzize anafanya mikimbio ya kuchongwa (Curved movements) mikimbio ya kuwatoka walinzi kwa kasi na ile ya kukaa Blind Side
Kijana amekuwa tishio,anataka kiatu cha mfungaji bora