Inaelezwa kuwa licha ya kuhitajika sana na vilabu vya nje mchezaji wa Yanga @clementinho49 ameeleza kuwa atasubiri mpaka mwisho wa msimu ili mazungumzo yafanyike kufuatia timu yake kueleza kuwa ipo tayari kumuachia mwisho wa msimu,
Kwa mujibu wa Mzize yeye anaeleza kuwa hayupo tayari kuondoka kwa ubaya pale Yanga, kuwa nidhamu hii Mzize atafanikiwa kuwa na mafanikio sana na kujiondoa kwenye migogoro isiyo ya lazima, japo kuna wengi wanaweza kufikiri amepoteza nafasi lakini nafasi nzuri huwa kwa wale wenye nidhamu na utulivu,