Tuzo za Trace 2025 zilifanyika Zanzibar usiku wa Jumatano, tarehe 26 Februari, zikileta pamoja mastaa wakubwa kusherehekea mafanikio ya muziki wa Kiafrika.
✨ Hii ni orodha ya washindi:
• 🇿🇦 Titom & Yuppe – Wimbo Bora wa Mwaka ‘Tshwala Bam’
• 🇳🇬 Rema – Albamu Bora (Heis) & Msanii Bora wa Kiume
• 🇨🇮 Tam Sir & Team Paiya – Ushirikiano Bora (‘Coup du Marteau’)
• 🎥 Meji Alabi – Video Bora (‘DND’ – Rema)
• 🇿🇦 Makhadzi – Mcheza Dansi Bora
• 🎧 DJ Moh Green – DJ Bora
• 🌍 Diamond Platnumz – Msanii Bora wa Afrika Kimataifa
• 🇨🇮 Didi B – Msanii Bora wa Hip Hop
• 🇿🇦 Tyla – Msanii Bora wa Kike
• 🇳🇬 Mercy Chinwo – Msanii Bora wa Injili
🇨🇩 Fally Ipupa - Mtumbuizaji Bora
🌍 Washindi wa Kanda:
• 🇰🇪 Bien – Msanii Bora wa Afrika Mashariki
• 🇹🇿 Nandy – Msanii Bora wa Tanzania
• 🇨🇮 Josey – Msanii Bora wa Kifaransa
• 🇳🇬 Ayra Starr – Msanii Bora wa Afrika Magharibi
• 🇦🇴 Chelsea Dinorath – Msanii Bora wa Kireno
• 🇿🇦 Tyler ICU – Msanii Bora wa Afrika Kusini