Web

Siku Mbaya na Nzuri Kwa Mchezaji Kasambi...Kijana Bado Mdogo Anajifunza Mpeni Muda..



Kuna muda hutamani kuvaa viatu vya huyu kijana Chasambi

Jana Chasambi amehusika kwenye matukio makubwa mawili,ame-assist goli la Ateba na Back-pass yake imezalisha goli la Fountain gate.

Kabla ya hayo matukio mawili,alikuwa na mechi nzuri,alikuwa sharp,uwezo wake wa kucheza kwenye maeneo finyu uliwatesa wapinzani.

Kama siyo tukio la kujifunga na kiwango bora cha John Noble, jina la Chasambi lilikuwa miongoni mwa man of the match contender.

Kosa la Chasambi siyo back-pass bali kosa lake ni kwanini amepiga back-pass inayolenga goli (in swing)?

Kijana bado ni mdogo,anazidi kujifunza mpeni muda atakaa sawa🖐️


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad