TABORA UNITED 0-3 SIMBA SPORTS CLUB
⚽️ 12” Ateba
⚽️ 35” Ateba (p)
⚽️ 66” Kapombe
Simba wanapika chakula kitamu sana,mara ya mwisho walipoteza mechi ya ligi kuu 19/10/2024 dhidi ya Yanga.
Baada ya hapo Simba wameshinda mechi 10 mfululizo za NBC,kwenye hizo mechi Simba wameruhusu goli 2 dhidi ya Kagera Sugar,huku wakipata Clean sheet (9)……yes! Simba wamevuna Clean sheet (9) kwenye mechi (10) za mwisho za NBC.
Kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita sikumbuki lini Simba walishinda mechi 10 mfululizo za Ligi kuu,ila msimu huu wameweza ni wazi Mnyama anautaka ubingwa wa NBC.