Web

Simba Yamfukuzia Yanga Kwa Kasi, Yamtandika Namungo 3




Timu ya #Simba imepata ushindi wa Magoli 3-0 dhidi ya #NamungoFC katika mchezo wa #LigiKuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Majaliwa, wafungaji wakiwa ni Jean Ahoua (45, 72) na Steven Mukwala (90+2)

Matokeo hayo yanaifanya Simba ifikikishe alama 50 katika michezo 19 ikiwa nafasi ya 2, nyuma ya #Yanga yenye pointi 52 katika michezo 20. Namungo FC yenyewe imesaliwa na alama 21 ikiwa na michezo 20 na ipo nafasi ya 12

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad