Kutoka kwa Mtaalamu @shaffihdauda_tz
Kiungo wa Azam FC anaendelea kukaa kileleni kwenye orodha ya watoa pasi za mwisho ( Assist) NBC PL 2024/25 , baada ya mchezo dhidi ya Simba amefikisha assist 11 , kwa sababu ya muda nitaweka namba zaidi kuliko maelezo
Mechi ________________ 21
Dakika _______________1835
Assist ________________11
Magoli________________4
Amechangia magoli_____15
2023/24 aling’aa zaidi kama mfungaji
2024/25 anang’aa upande wa assist
Kwenye orodha ya waliochangia magoli mengi yupo namba 3 , nyuma ya Dube na Ahoua
Siwafundishi kumpenda , nawakumbusha kumpa heshima
Hongera sana mdogo wangu @feisal194