Sowah ni Mbwa Mwitu Kwenye Box, Kwa Kifupi Alizaliwa Kufunga Magoli
Kwenye mechi sıta Za ligi Jonathan Sowah amefunga magoli 6.
Mpaka ÅŸaÅŸa amezidiwa magoli manne na vinara Wa ufungaji wenye magoli 10.
Singida wamebakiza mechi 8 Za ligi na kwa mwendo huu Sowah anaweza kuwa mfungaji bora.
Sowah ni mbwa mwitu kwenye box,kwa kifupi alizaliwa kufunga magoli.
Hans Rafael