Inaelezwa kuwa Uongozi wa klabu ya Tabora United kwa kushirikiana na wadau umeweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.
Vigogo hao wametoa ahadi ya Sh 100 milioni kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Simba.