Takwimu za washambuliaji wa klabu za Simba na Yanga kwa msimu huu wa Ligi kuu 2024/25 Tanzania Bara hadi hivi sasa;
CLEMENT MZIZE [Yanga]
- Magoli saba [7]
- Pasi za mwisho tatu [3]
- Mchezaji bora wa Mwezi moja [1].
- Mchezaji bora wa Mchezo moja [1].
LEONEL ATEBA [Simba]
- Magoli saba [7].
- Pasi za mwisho mbili [2]
- Mchezaji bora wa mwezi 0
- Mchezaji bora wa Mchezo tatu [3].
PRINCE DUBE [Yanga]
- Magoli 5
- Pasi za mwisho 3
- Mchezaji bora wa mwezi 0
- Mchezaji bora wa mchezo 1
STEVEN MUKWARA [Simba]
- Magoli 4
- Pasi za mwisho 2
- Mchezaji bora wa mwezi 0
- Mchezaji bora wa mchezo 0.