Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi ikitokea mjini Ruangwa ambako jana ilicheza mechi ya ya ligi kuu NBC dhidi ya Namungo FC.
Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda wa ajali hiyo zinasema hakuna madhara makubwa kwa Wachezaji zaidi ya majeraha.