TRANSFER NEWS: Kinachoendelea Kati ya Maxi Nzengeli na Yanga, Waliomtoa Kwa Mkopo



Maxi Nzengeli ataongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Ndani ya Yanga SC.

Uongozi wa YANGA SC umeanza mazungumzo rasmi na timu AS Maniema Union ili kukamilisha dili hilo

Japo kiongozi wa timu ya AS Maniema Union Jenerali Kumba amesema mahusiano mazuri kati ya Yanga na timu hiyo ni makubwa hivyo uhakika wa mchezaji huyu kubaki jangwani ni mkubwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad